DJ Ally Fresh: Performing at GENG GENG JAM SESSION EDITION 3
"Si ni mimi nakushow..." Happy new month Geng! Imuok na baraka chungu nzima, na pia kajua bana jo. Karibuni kwenye burudani hii Furahiday pale Jam Sesh! Line up imejilainisha, tunakaribisha maselekta wa kusemeka! Alafu pia a special performance by Arbantone cult hero @_danski._
A celebration of kulture like no other - itakua moja for the mbuku
Gates open at 9.30pm
🗓️ Furahidaaaay, September 5th 📍 The Mall, Roofrop 🎟️ Tikiti kwenye linki ya bio